Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,997
Hawa jamaa wana ajenda nzito nzito na watu maarufu kwa manufaa ya nchi yao.Neymar Jr ameondoka katika soka la ulaya akiwa na miaka 31 tu. Ameenda zake Saudi Arabia kuungana na mastaa wengine waliokimbilia katika ligi hiyo.
Baadhi ya ofa ambazo Neymar atazipata katika mkataba wake huko katika klabu yake ya Al Hilal.
Ofa hizo ni kama ifuatavyo;
1. Jumba la kifahari lenye vyumba takribani 25 na Jumba hilo lina bwawa kubwa la kuogelea (Swimming Pool) lenye mita 40x10 na vymba vitatu vya sauna.
2. Wafanyakazi watano ambao watakuwa wapo masaa 24 kwaajili ya Jumba la Neymar.
3. Gari la kifahari aina ya Bentley Continental GT ambalo thamani yake ni sawa na Tshs. Milioni 650
4. Gari la pili ambalo ni Aston Martin DBX ambalo ni miongoni mwa magari ya gharama sana
5. Gari la tatu ambalo ni Lamborghini Huracan. Gari la kisasa zaidi.
6. Dereva atakayekuwa yupo muda wote kwa ajili ya kumuendesha Neymar
7. Atakuwa analipiwa gharama zote za hotelini, migahawani kipindi chote atakapokuwa likizo. Yaani mfano akienda Ibiza huko kipindi cha likizo basi gharama zote zitalipwa na klabu yake.
8. Ndege binafsi ambayo ataweza kuitumia popote atakapotaka kwenda kwa gharama za klabu.
9. Atapatiwa Euro 500,000 ambazo ni sawa na Tshs. Bilioni 1 na Milioni mia tatu na hamsini na saba atakapokuwa anapost kuhusu nchi ya Saudi Arabia katika mitandao yake ya kijamii kama vile Instagram.
10. Mshahara wa Euro Milioni 100 kwa Mwaka ambazo ni sawa na Tshs. Bilioni 273 kwa mwaka mmoja tu.
Kwa ofa ya namna hiyo na kwa Neymar ambaye hakuwa na muendelezo mzuri, hatuwezi kumlaumu acha akavune pesa tu. Pesa inafanya dunia izunguke.
Marketing stunt.Hawa jamaa wana ajenda nzito nzito na watu maarufu kwa manufaa ya nchi yao.
Mkuu, ili kupata pesa unatakiwa utumie pesa.Matumizi mabaya ya pesa haya.π€¨
Neymar Jr ameondoka katika soka la ulaya akiwa na miaka 31 tu. Ameenda zake Saudi Arabia kuungana na mastaa wengine waliokimbilia katika ligi hiyo.
Baadhi ya ofa ambazo Neymar atazipata katika mkataba wake huko katika klabu yake ya Al Hilal.
Ofa hizo ni kama ifuatavyo;
1. Jumba la kifahari lenye vyumba takribani 25 na Jumba hilo lina bwawa kubwa la kuogelea (Swimming Pool) lenye mita 40x10 na vymba vitatu vya sauna.
2. Wafanyakazi watano ambao watakuwa wapo masaa 24 kwaajili ya Jumba la Neymar.
3. Gari la kifahari aina ya Bentley Continental GT ambalo thamani yake ni sawa na Tshs. Milioni 650
4. Gari la pili ambalo ni Aston Martin DBX ambalo ni miongoni mwa magari ya gharama sana
5. Gari la tatu ambalo ni Lamborghini Huracan. Gari la kisasa zaidi.
6. Dereva atakayekuwa yupo muda wote kwa ajili ya kumuendesha Neymar
7. Atakuwa analipiwa gharama zote za hotelini, migahawani kipindi chote atakapokuwa likizo. Yaani mfano akienda Ibiza huko kipindi cha likizo basi gharama zote zitalipwa na klabu yake.
8. Ndege binafsi ambayo ataweza kuitumia popote atakapotaka kwenda kwa gharama za klabu.
9. Atapatiwa Euro 500,000 ambazo ni sawa na Tshs. Bilioni 1 na Milioni mia tatu na hamsini na saba atakapokuwa anapost kuhusu nchi ya Saudi Arabia katika mitandao yake ya kijamii kama vile Instagram.
10. Mshahara wa Euro Milioni 100 kwa Mwaka ambazo ni sawa na Tshs. Bilioni 273 kwa mwaka mmoja tu.
Kwa ofa ya namna hiyo na kwa Neymar ambaye hakuwa na muendelezo mzuri, hatuwezi kumlaumu acha akavune pesa tu. Pesa inafanya dunia izunguke.
Moja ya faida wanayoipata ni mfano wa hii thd imefunguliwa ili kuiongelea Saudi Arabia,Lakini Mimi bado sijapata jibu kwanini hii league inatumia gharama kubwa kiasi hiki?. Wanarudishaje gharama za uwekezaji?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo ni mchezaji mmoja Sasa Kama wanakuwa watatu wanne.Mkuu, ili kupata pesa unatakiwa utumie pesa.
Mbona tayari wapo zaidi ya 4 na wanapiga hela nzuri tu,Na huyo ni mchezaji mmoja Sasa Kama wanakuwa watatu wanne.
Mafutaa hayajawahi kuishaLakini Mimi bado sijapata jibu kwanini hii league inatumia gharama kubwa kiasi hiki?. Wanarudishaje gharama za uwekezaji?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka waipindue ulaya , ni suala la muda tu, Waafrika tutaanza kutafuta visa za kuzamia uarabuni kutafuta ndoto zetu...ππππππLakini Mimi bado sijapata jibu kwanini hii league inatumia gharama kubwa kiasi hiki?. Wanarudishaje gharama za uwekezaji?.
Sent using Jamii Forums mobile app