Baadhi ya Matukio ya Kukumbukwa kwa Mwaka 2015

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,850
34,301
1.Rais-Mstaafu-wa-awamu-ya-nne-Dk.Jakaya-Kikwwete-akisalimiana-na-Rais-wa-Uganda-Yoweri-Mseven-baada-ya-kumaliza-mda-wake.-1024x683.jpg
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame baada ya kumaliza muda wake.
2.Mama-Salma-Kikwete-katikati-akisalimiana-na-mmeweDk.Jakaya-Mrisho-Kikwete-baada-ya-kuachia-kijiti-cha-uraisi-1024x683.jpg
Mama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mumewe, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuachia kijiti cha uraisi
3.Jeshi-la-ulinzi-la-Tanzania-lilivyopendeza-siku-hiyo-ya-Novemba-52015.-1024x683.jpg
Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku ya kuapishwa kwa Rais Magufuli Novemba 5, 2015.
4.Tukio-la-maji-kuja-daraja-la-jangwani-kipindi-cha-mvua-mwezi-Februari-2015.-1024x768.jpg
Tukio la maji kujaa katika daraja la Jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.


5.Raisi-wa-awamu-ya-tano-wa-Jamhuri-ya-muungano-wa-TanzaniaDk.-John-Pombe-Magufuli-alivyoapishwa.-1024x683.jpg
Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli alivyoapishwa.
6.Rais-Mstaafu-wa-awamu-ya-nne-Dk.Kikwete-akiwapungia-mkono-wa-kwaheri-baadhi-ya-wakazi-waliojitokeza-kwenye-hafla-hiyo-ya-kuapishwa-rais-mpya-.-1024x683.jpg
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Kikwete akiwapungia mkono wa kwaheri baadhi ya wakazi waliojitokeza kwenye hafla ya kuapishwa rais mpya .
7.Baadhi-ya-wafanyakazi-wa-makampuni-walivyoonekana-kufanya-usafi-Desemba-92015.-1024x683.jpg
Baadhi ya wafanyakazi wa makampuni waliojitokeza kufanya usafi Desemba 9,2015.
8.Zoezi-la-uchukuaji-vidole-lilivyoonekana.-1024x683.jpg
Zoezi la uchukuaji vidole (BVR) lilivyoonekana.
9.Baadhi-ya-wananchi-wa-jiji-la-Dar-walivyoonekana-kujipanga-mstari-kwa-ajili-ya-kujiandikisha-kupata-vitambulishao-vya-kupigia-kura.-1024x683.jpg
Baadhi ya wananchi wa Jiji la Dar walivyoonekana kujipanga mstari kwa ajili ya kujiandikisha kupata vitambulisho vya kupigia kura.
10.Mwenyekiti-wa-ChademaFreeman-Mbowe-wapili-kushoto-akimkabidhi-fomu-ya-kugombea-urais-Mhe.Lowasa.-1024x768.jpg
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mhe.Lowasa.
mabasi1-1024x576.jpg
Baadhi ya mabasi yalivyoonekana katika stendi kuu ya mabasi Ubungo baada ya kugoma.


Mwaka wa 2015 umepita na huu ni 2016. Lakini ni ukweli ulio wazi kwamba 2015 umetuacha na kumbukumbu ya matukio mbalimbali ambayo yaliitikisa nchi yetu.

Huenda yapo mengi lakini hapa chini nimekukusanyia yale ambayo yalikuwa ‘hot’ zaidi. Fuatilia


NA DENIS MTIMA/GPL
 
Back
Top Bottom