Baadhi ya mataifa ya Ulaya na Japani yanapata misaada kutoka Marekani

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Baadhi ya mataifa ya ulaya na japani yanapata misaada kutoka marekani.
Kuna baadhi ya mataifa ya ulaya,yanapita kwenye misukosuko ya kiuchumi
Mataifa hayo yanaenda kuomba misaada marekani,na kuomba misaada kwenye baadhi ya nchi za ulaya
Japani wamekuwa wanategemea misaada ya kijeshi kutoka marekani kwa muda mrefu sana.
Nato yenyewe imekuwa inategemea misaada kutoka marekani kwa muda mrefu sana
Kwa hiyo ningepata muda wa kumshauri mh rais,kwanza ningempongeza kwa wazo lake zuri,la ss watanzania kujitegemea wenyewe, lkn ningemkubusha kuwa duniani kote hakuna taifa linaweza kujitegemea lenyewe,kwa kila jambo bila kushirikiana na taifa lingine.
Kwa maana hiyo basi,tanzania bado tunahitaji mausiano mema na mataifa mengine
 
Back
Top Bottom