fredrickjanga
Member
- Aug 13, 2015
- 23
- 22
Naanza kuwatahadharisha watanzania wote, baada ya uchaguzi mkuu tusilaumiane:
Nimeona wasanii sasa hivi wanajikomba CCM, baada ya uchaguzi ndio watagundua kwamba serikali bado haiwajali, Tusilaumiane!
Naona bado kuna wakinamama wenye shida za kutupwa, bado wanasema CCM ni nzuri, baada ya uchaguzi, ndio wataanza tena kulalamika, Tusilaumiane!
Naona kuna baadhi ya vijana wanapewa vifedha na kujisahau, baada ya uchaguzi, ndio watakumbuka kumbe hawana ajira, Tusilaumiane!
Naona watanzania wengi tumekuwa tukilalamika maisha magumu, baada ya uchaguzi, maisha yatabadilika kutokana na chaguo lako, ukichagua CCM, Tusilaumiane!
Chagua mabadiliko, vinginevyo, TUSILAUMIANE!!!!