Baada ya shoo, hatusemeshani na mpenzi wangu

Ila watu mna nguvu jamani,mnataoka baa ya kwanza,mnahamia ya pili,mnahamia lodge,mnahamia club eeeeh bwana eeeh😆si mpange ratiba vizuri!
 
Ukimuuliza mhusika mwenyewe atakupa jibu sahihi, hapa umekuja kutujulisha kuwa ulimchosha Dada wa watu.
 
Ilichukua muda mrefu
 
Ila watu mna nguvu jamani,mnataoka baa ya kwanza,mnahamia ya pili,mnahamia lodge,mnahamia club eeeeh bwana eeeh😆si mpange ratiba vizuri!
Ukipata kinywaji, unaona usiku ni kama mchana
 
Umenikumbusha kitu😂😂😂

wakati mwingine shoo inategemeana na ubora wa mashine. Mashine kama iko vzuri huchelewi.

Faida tu ni kwamba itawahi kuamka tena. ila ikiwa mbovu muda mrefu na ukimaliza hutamani kurudia.
 
Umenikumbusha kitu😂😂😂

wakati mwingine shoo inategemeana na ubora wa mashine. Mashine kama iko vzuri huchelewi. Faida tu ni kwamba itawahi kuamka tena. ila ikiwa mbovu muda mrefu na ukimaliza hutamani kurudia.
Inagusa mlango
 
Hongera kwa kutupa taarifa kuwa una uwezo wa kupiga mashine.
 
inaonekana haujui kutofautisha kati ya kuto.mba na kufanya mapenzi. wewe ulikua unamto.mba kufidia gharama zako ndio maana kachukia ila kama ungefanya mapenzi angefurahi na hata uko club kulikua hakuendeki
 
Inawezekana kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…