Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,066
Picha iko wapiNimetoka 'out' na huyu bibie mfanyabiashara ya madini; baada ya kuingia kiwanja cha kwanza, tukapiga pombe kama bia 3 kila mmoja, tukahamia kiwanja kingine, pale tukapiga bia kama 5 kila mmoja, pamoja na kuku 2 wa kuchoma.
Picha ya nini mkuuPicha iko wapi
Leta abc mkuuDah..mada zingine bhana any way simu yako bando lako na nchi ni ya kidemokrasia hii
gold mkuu, tatizo simalizi harakaMtupe tu hana lolote huyo! Ina maana hajawahi kunyanduliwa kama ulivyomnyandua? Au ndo kaona hujui lolote ndo maana kakuootezea maana dem ukimridhisha huwa anaongeza mapenzi na kukubana zaidi, kingine biashara ya madini anayofanya ni madini yapi!? Maana Kuna madini ya kupima kwenye viroba kama mahindi na kila kiroba ukalipwa si zaidi ya 30k na kuna yale ya gram kadhaa tu unalipwa mamilioni.
Anasema namkomoaAnahisi umetumia mkongo ๐คฃ๐คฃ
Anazungumzia makristo, maislamu, masabato, mabudha, mahindu n.kMtupe tu hana lolote huyo! Ina maana hajawahi kunyanduliwa kama ulivyomnyandua? Au ndo kaona hujui lolote ndo maana kakuootezea maana dem ukimridhisha huwa anaongeza mapenzi na kukubana zaidi, kingine biashara ya madini anayofanya ni madini yapi!? Maana Kuna madini ya kupima kwenye viroba kama mahindi na kila kiroba ukalipwa si zaidi ya 30k na kuna yale ya gram kadhaa tu unalipwa mamilioni.
Mkuu madem wengi hawapendi kidume kimalize haraka tatizo linakuja pale ambapo umalizi haraka alafu unamkera tu kwa kutokumaliza kwako! Kama umkeri yaani the way unavyokaa juu yake na bado akawa anasikia utamu bila karaha za harufu ya jasho mdomo nk basi wao ndo wanatamani hata uikeshee kabisa!!!!gold mkuu, tatizo simalizi haraka
Akishamaliza yeye anataka na wewe uwe umemalizaMkuu madem wengi hawapendi kidume kimalize haraka tatizo linakuja pale ambapo umalizi haraka alafu unamkera tu kwa kutokumaliza kwako! Kama umkeri yaani the way unavyokaa juu yake na bado akawa anasikia utamu bila karaha za harufu ya jasho mdomo nk basi wao ndo wanatamani hata uikeshee kabisa!!!!
Anasema nimemkera simuhurumii, namfanya kama robotKama angechoka asingekuwa na nguvu ya kwenda club.
Hapo kamkumbuka x wake,kaamua akuletee vitimbi.
Hapo umepigwa,huna uzoefu wa wanawake.
kama zile tairi
Huyo ni mfanyabiashara wa K sio madini, kaenda kutafuta mwingine.Anasema nimemkera simuhurumii, namfanya kama robot