[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hongera Sana Mkuu, MUNGU wetu ana huruma sana, yaani huwa nikitafakari michezo michafu niliyocheza na bado unakuta upo safe,huwa natokwa machozi yaliyobeba Shukurani kwa MUNGU huku nikidhamiria kufanya toba ya kiwango cha juu sana,lkn bahati mbaya zikipita siku chache najikuta nimerudi kulekule.Mungu anisamehe.