Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,028
- 144,382
aiseee babaangu baba wa nchi mwenyewe hana time na familia yake
Njaa na uhuni ndio inawasumbua tu! muislamu aliye na maadili na maendeleo yake hawezi kupoteza muda na tabia za kihuni na kipuuzi kama hizi. Watatulia tu!
Sidhani kama Bakhresa na Mo Dewji wanaweza kusika kiberiti na kuchoma kanisa
Nasikia sahizi yupo ngurdoto arusha amejipumzikia
Anapata semina elekezi
SULUHU NI KUWAUWA VIKOJOZI wanaokojolea vitabu vitakatifu....no more kuchokozana
Mkuu hilo swala kwamba kila askari ana dini yake ndio baya na hatari zaidi.Kumbuka huko Yemen,Libya,Misri na Syria wanajeshi na polisi walifiki hatua ya kuasi na kukataa kupokea amri za kuua ndugu zao.Hili jambo hata bongo linawezekana hasa linapokuja swala la imani za watu.Sijui tunaenda wapi nani atatuepusha na balaa maana vyombo vyote vya ulinzi ni mchanganyiko wa dini sasa wakiamua kila mmoja kulinda dini yake itakuwaje? Ee Mungu naanza kuona uchaguzi 2015 utakuwa na harufu ya udini
SULUHU NI KUWAUWA VIKOJOZI wanaokojolea vitabu vitakatifu....no more kuchokozana