Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 124
- 214
Tuliona Kipindi Lema akiwa Mbunge alivyopata misukosuko hapo Arusha, wengine tulidhani ni kwa sababu ni Mbunge Kutoka Chama Cha Upinzani!
Akaja Gambo na Mongella baadae Makonda, Hawa wote ni Kutoka Chama tawala lakini tuliona Mh Gambo alivyopata misukosuko katika Kipindi chake!!
Uhakika ni kuwa baada ya October 2025 na kuendelea Paul Makonda na Kihongosi watakuwa Maadui!!