Baada ya Nape na Mwigulu sasa ni zamu ya January Makamba

ecolizer baba

Member
Sep 29, 2010
88
310
Gazeti la Tanzanite la leo limeanza mashambulizi Rasmi dhidi ya Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. January Makamba.

Gazeti hili la Cyprian Musiba linadai January katoweka na Bilioni moja za NSSF.

Nimejiuliza kuwa je baada ya Nape na Mwigulu hii ni zamu ya January??

Naomba kuwasilisha
 
Huyo mwenye gazeti kwani unamwelewa ?? Huyo huenda ni Mirembe
 
Huu uzi utafutwa na mods ni swala la muda tu waitu!
 
Kama hajatoweka nazo ,mahakama zipo,alilipue hilo gazeti,akikaa kimya ujue mzigo katoweka nao,ufafanuzi wake ni muhimu sana kwenye hii story
 
Nyie hamjajua mpango mkakati uliopo yaani karibia wale wote waliokuwa kwenye kinyang'anyiro cha ugombea urais 2015 kwa sasa ndo wanatafutiwa doa ili 2020 aonekane hafai na katika makundi yote ya jk magu anataka kuyafuta ndo maana anaunda yake kimya kimya huyu januar mwenyewe uishangae na akawekwa pembeni kama ni kweli au kwa kuonewa ili nae akae pembeni kama wenzake
 
Who cares?
 
Kama hajatoweka nazo ,mahakama zipo,alilipue hilo gazeti,akikaa kimya ujue mzigo katoweka nao,ufafanuzi wake ni muhimu sana kwenye hii story
Walichukuwa pesa 1billion kwa mgongo7wa mbumburi SACCOS, ambayo haikuwa na qualifications za kupata hizo pesa toka nssf,
 
Walichukuwa pesa 1billion kwa mgongo7wa mbumburi SACCOS, ambayo haikuwa na qualifications za kupata hizo pesa toka nssf,
Kumbe mahakamani hatakwenda,ndipo kichwa chake kitakapoelekezwa kibla walah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…