Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,385 Feb 6, 2024 #1 Ikipita miaka kadhaa huwa wanarudi kwa wanaume wa zamani. Unakuta mtu kashazaa watoto na ana mume lakini anarudi tena kwa wale waliomuacha zamani.
Ikipita miaka kadhaa huwa wanarudi kwa wanaume wa zamani. Unakuta mtu kashazaa watoto na ana mume lakini anarudi tena kwa wale waliomuacha zamani.
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,359 Feb 6, 2024 #2 Sio habari mpya humu jukwaan..Tafuten news jaman ndio mfungue thread..hiz habar zimejaa mnoo njoon na ubunifu mpya wa kuwatuhumu hawa wanawake
Sio habari mpya humu jukwaan..Tafuten news jaman ndio mfungue thread..hiz habar zimejaa mnoo njoon na ubunifu mpya wa kuwatuhumu hawa wanawake
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,385 Feb 6, 2024 Thread starter #3 Ivan Stepanov said: Sio habari mpya humu jukwaan..Tafuten news jaman ndio mfungue thread..hiz habar zimejaa mnoo njoon na ubunifu mpya wa kuwatuhumu hawa wanawake Click to expand... Pole utapata mume mpya
Ivan Stepanov said: Sio habari mpya humu jukwaan..Tafuten news jaman ndio mfungue thread..hiz habar zimejaa mnoo njoon na ubunifu mpya wa kuwatuhumu hawa wanawake Click to expand... Pole utapata mume mpya
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,359 Feb 6, 2024 #4 Execute said: Pole utapata mume mpya Click to expand... Sawa .. ila zingatia ushauri wangu pia
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,385 Feb 6, 2024 Thread starter #5 Ivan Stepanov said: Sawa .. ila zingatia ushauri wangu pia Click to expand... Zingatia kuwa na subira.
Ivan Stepanov said: Sawa .. ila zingatia ushauri wangu pia Click to expand... Zingatia kuwa na subira.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,268 Reaction score 114,509 Feb 6, 2024 #6 Ivan Stepanov said: Sio habari mpya humu jukwaan..Tafuten news jaman ndio mfungue thread..hiz habar zimejaa mnoo njoon na ubunifu mpya wa kuwatuhumu hawa wanawake Click to expand... Hakuna jipya chini ya jua, mambo mengi tunafanya marudio tu mkuu.
Ivan Stepanov said: Sio habari mpya humu jukwaan..Tafuten news jaman ndio mfungue thread..hiz habar zimejaa mnoo njoon na ubunifu mpya wa kuwatuhumu hawa wanawake Click to expand... Hakuna jipya chini ya jua, mambo mengi tunafanya marudio tu mkuu.