Baada ya Misri sasa tunahamia Algeria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Misri sasa tunahamia Algeria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishalu, Feb 12, 2011.

 1. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 60
  Baada ya wananchi wa Algeria kusikia kujiuzulu kwa Rais wa Misri,walisherekea na kuanzisha maandamano wakitaka nao mabadiliko,pia viongozi wa upinzani nchini Algeria wameitisha maandamano nchi nzima huku wakikabidhiana na uongozi wa police waliodai viongozi wa vyama vya siasa wanataka kufanya mapinduzi.

  Yetu macho na bado tunasubiri TZ
   
Loading...