Baada ya miaka 3-5 ya ndoa

Hivi inatokea mwanamke anakwambia anataka vitu vyake we unamwambia umechoka,mh mie jamani haijawhi tokea labda niwe naumwa,lakini swala la kuchoka kwangu halipo tena mie mtu wangu akiniambia anataka ile kitu frankly speaking huwa inasimama hapohapo na anapewa haki yake,sijui labda kama siko normal.
 

hapo unapatia sana na huwa inanoga ukitimiza pale inapohitajika na kama inakuwa ni siku za hatari hata mimba hushika hapo. Hongera sana kutii kiu ya mwenzio.
 
mtoa mada anajaribu kufananisha mwili wa binadamu na vyuma ambavyo vikitumika muda mrefu hulika kwahiyo kuhitaji marekebisho ila kibaolojia mwili wa binadamu hauko hivyo. Kama kumlamba shingo ndio kulikuwa kunampa ashiki hata ipite miaka 100 bado shingo itaendelea kuwa sensitive area kwako

Ni mchango wangu msinitoleee mapovu

Mokoyo
 
muulize kwanza kaoa au unampa hongera kwa uzinifu wake tu
hapo unapatia sana na huwa inanoga ukitimiza pale inapohitajika na kama inakuwa ni siku za hatari hata mimba hushika hapo. Hongera sana kutii kiu ya mwenzio.
 
stephot uko juu nakuaminia..........
 
Last edited by a moderator:
daah ingawa ID yako..iko tofauti..nashukuru kwa kusema ukweli kwahiyo kumbe ile article ni hatari tena inaitwa women infidelity..kuidownload kwenye google andika women infidelity pdf..download ina page 200..daaah inabidi kwa kweli nioe mke mzuri..kwa kweli ili nisimchoke..ni chapa ilale mwanzo mwisho..mim nilifikiri huyo mzungu alikua anazingua kumbe ni kweli halafu aliyeandika ni mwanamke..sasa,,ddaaaaaahhh
 
unajua nikisoma ID yako na comments zako napatwa na kigugumizi, sasa wewe jinsia gani ndugu, jina umeficha, sura umeficha, hata jinsia nayo unaficha??? Mweee
 
unajua nikisoma ID yako na comments zako napatwa na kigugumizi, sasa wewe jinsia gani ndugu, jina umeficha, sura umeficha, hata jinsia nayo unaficha??? Mweee

pole best,i'm she,husband wangu ni msweetie mno ndio maana nikapenda hiyo id,ok nitabadlisha soon,kama inawezekana,lets me try!!
 
Kama upo kwny ndoa basi labda wewe ni kati ya wale wachache waliobahatika,ila ukweli ndio huo,%kubwa ya wamama walioko kwny ndoa ni kilio,na wababa ni wachache ambao wanalalamikia ndoa zao,wanawake ni wahanga bna asikwambie mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…