Baada ya Mgegedo Nahisi Beki 3 Katoboa siri


But it’s so illogical. Wife anune. Beki tatu awepo. Please heshimu JF.
 
Mnawezaje Kulala na mtu alie kununia afu unapata usingizi

Mi siwezi .je akinichoma kisu
inategemea kama mpo ndoani tena wanawake ndo wanafurahi kulala domo wamebenjua maana wanajua hawapigwi mande usiku...
 
Wewe mwanaume kuwa kama mwanaume. Aundugu unamuogopa mkeo.
 
Wanaume
 
Hajamwambia bado, kingenuka tu ndani hapo
 
Ulichofanya sio kitendo kizuri kabisa,Imagine ndo mwanao yupo ugenini akafanyiwa kitendo kama icho utajisikiaje
Yaani nimesoma maneno yako halafu nikasikia moyo unavuta hivi.....
 
mkuu mrejesho wa kikao chako na wife
.
 
Dah yaani umebaka halafu unakuja kusimulia kwa amani kabisa kama umeshinda kombe?
Huu ndo mwanzo wa wewe kumwaribia huyo binti maisha yake
 
Umevuna ulichokipanda jipange jinsi ya kuweka mambo sawa kabla ndoa haijavunjika.
 
Ukitaka kujua kama siri imetoka au lah, Fanya hivi. Omba mzigo Leo. Ukipewa ujue mambo supa. Ukinyimwa buni safari yeyote uende mkoani alafu zima simu wiki nzima ukitafakari makosa uliyofanya na hatma ya ndoa yako.

Baada ya hapo rudi ukae na mkeo muongee kwa upole. Confess makosa yako na toa ahadi kuwa hutorudia tena upuuzi huo. Baada ya hapo mlipe house girl mshahara wa miezi 3 na nauli ya kurudi kwao. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…