shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,566
- 3,129
inatakiwa upigwe ban ya mwaka kabisaHabari wadau .
Moja kwa moja kwenye mada .Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba wakijipa moyo kuwa wanabeba ubingwa .
Ukweli japo mchungu nikwamba baada ya mechi kila shibiki wa simba atatoka kichwa chini .leo ni siku chungu kwa simba atapigwa vibaya sana.
Viongozi walishauza mechi wamevuta chao.
Nawahurumia sana mashabiki wa simba .Narudia simba akibeba kombe nipigwe ban ya siku tano.
DuuuhBaada ya mechi kuna watu watakufa Kwa pressure
1. Mashabiki wa Simba kwa furaha ya kushinda
2. Mashabiki wa Simba kwa pressure ya kushindwa
3. Mashabiki wa Yanga kwa furaha ya Simba kufungwa
4. Mashabiki wa Yanga kwa pressure ya Simba kushinda
Lazima kuna kufa leo!!
Mzee watu tulikuwa tumeshaonaNabii