Baada ya Mbowe na Kamati Kuu kupiga 'hat trick', sasa ni zamu ya Peter Kibatala na Tundu Lissu kusimamia mambo ya kisheria

Uzalendo wa kuiba kura na kutetea ujinga unatusaidia nini wewe mchumia tumbo?
Nimjinga tu asie jua kua ule ni mpango uliotengenezwa na Amsterdam katika kuonyesha mteja wake kahujumiwa.
Kama kweli mumeibiwa kura, Ushahidi gani wa kimazingira unaothibitisha madai yenu?
Kwanini kura mulizo zikamata mulizitia moto?
Je wahusika wa matukio yale wako wapi?
Acheni kutumika vijana.
 
Ata wakienda mahakani kupinga na wakaendelea kuwa wabunge lengo tayari limeshavurugika la kupata pesa kutoka kwa wazungu, hivyo kama serikari ilitoa pesa kuwashawishi imekula kwao maana kwa haya yanayoendelea ni dhaili wazungu hawatoi pesa.
 
Ni wazi Halima Mdee na wahuni wenzanke si wanachama tena wa CHADEMA, kwakuwa Katiba iko wazi hata ule Ubunge wao wa kuapishwa gereji ni 'Nuil and Void'.

Sasa natowa wito mpira umebaki kwa Peter Kibatala kuhakikisha challenge zozote za kisheria anazisimamia na waliofanya fojari wote mchakato uanze haraka ofisi ya fraud kwa hatuwa zaidi.

Tundu Lisu yeye ni center foward, angle yake ni kule kwa Mabeberu kuhakikisha Mabeberu wanaongeza mbinyo kisawasawa wakati huo huo akiwapa consultation za kisheria Kibatala na team yake.

CHADEMA msilale maadui wanajipanga, muda huu ni wa kuongeza mashambulizi tu bila kuchoka ushindi ni dhahiri.

Wewe n jinga sana.,, haya yote yanakunufaisha vipi ww na familia yako? Au bado hujitambui? Pigen sarakasi mtakuja shtukia 2025 hi hapa na CcM wanawashinda tena
 
Chizi ama mtu asie na uzalendo kwa taifa leke ndio anae weza kuongea hivi.
Ndio maana wananchi hatuwaungi mkono, sababu sera zenu sio za kuzalendo.

Hivi hao mabaasha zako (Mabeberu) wakiongeza huo ulioita mbinyo, wewe utanufaika na nini?
mabeberu wakiongeza mbinyo hata wewe akili zako zilizomwekuliwa na ule mwanga wa kichawi, zitakurudia tu, make hata wakiweka vifaru na mabomu bado utaingia road tu
 
Euro Million 27 mmepeleka wapi? Majambazi wakubwa.
Kwani miladi inayo endelea huioni?
Au ulitaka ufuatwe kwenu uwambiwe "Matola pesa hii tunaenda kujenga barabara" sio!
Acha ujinga dogo, taifa linakutegemea.
 
Chizi ama mtu asie na uzalendo kwa taifa leke ndio anae weza kuongea hivi.
Ndio maana wananchi hatuwaungi mkono, sababu sera zenu sio za kuzalendo.

Hivi hao mabaasha zako (Mabeberu) wakiongeza huo ulioita mbinyo, wewe utanufaika na nini?
Hivi tokea lini kuiba kura kukawa ndio uzalendo....AISEE AKILI ZENU WATU WA LUMUMBA MNAZIACHA WAPI?
 
Unakumbuka mlipomfukuza zitto kabwe uanachama? Je alipoteza ubunge?
Kina halima wataenda mahakamani na mahakama itawalinda kwa kuwawekea kinga.
Kwa kifupi tukutane oktoba 2025 chadema mkiwa dhohoful hali...mbwa kachoka,waarabu wanasema fiadha kelbu taaban.
Mnaishi kwa kutegemea mahakama....unakiri kabisa mahakama mmeiweka MFUKONI.... AISEE,wewe NI MPUMBAVU NA MJINGA...sijakutukana ndivyo ULIVYO
 
CCM ina matendo ya 'kishetani' yaliyojivika vazi zuri la uzalendo.
😂 makamanda hua hamtak hata kusumbua bongo zenu. Yaaan hata mbowe akijikwaa bas prime suspect ni CCM na serikali, mwanachama akihoji juu ya mwenyekiti wakudumu mnasema huyo kanunuliwa na ccm.
 
AG alishasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa.

TAL na PK wataangukia pua mahakamani!
Hahaha nani kaenda mahakamani?!

Na mahakama ipi ?!

Kwani chama kinazuiwa kumfukuza mwanachama wake aliyekiuka sheria?!

Wao ccm wamefukuza wangapi, na kwani wamezuiwa kuwatambua kuwa wabunge?!

Ccm wana medali za dhahabu za uvunjifu wa katiba na kanuni na wana medali za dhahabu kwenye kutunga kanuni zao nje ya utaratibu hata hili watalibeba hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom