Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

Hivi mkuu kwanini hausomi upepo unakoelekea kwa suala la kitaifa kama hili?

Rais, Bunge na mawaziri wanaliongelea sana kila uchao suala lenu, na tena limekaa kisiasa sana.

Hongera kwa kuwa na 'muhu' wa kukamatia chaki kunoa ubongo wa vijana wetu, mwezi wa saba hauwezi kupita hivi hivi lazima ajira isome, mungu tena.
 
Kaa kwa kutulia teacher mwaka wa fedha ukipinduka mambo yatakuwa mukide, usiache kumuomba Mungu wakupangie vituo vya mjinimjini kidogo maana hawachelewi kukutupa sehemu usafiri ni trekta pekee
 
Oya mbona wengine inagoma au sababu sio waalimu , tuna taaluma zingine, mbona kipindi kile ilikubali
 

Asante Ndugu,Tuzidi kuombeana Mungu atasimamia Hili.
 
Kaa kwa kutulia teacher mwaka wa fedha ukipinduka mambo yatakuwa mukide, usiache kumuomba Mungu wakupangie vituo vya mjinimjini kidogo maana hawachelewi kukutupa sehemu usafiri ni trekta pekee
Asante Ndugu Kwa kututia Moyo Tunasubiria Kwa hamu Tukalitumikie Taifa Rafiki
 
mkuu kama ww mwalim wa phys bas fua begi
 
Samahan naomba namba yako nikupigie ili unielekeze vizuri km umemaliza kuapply mana mi nimeshindwa kulog in kabisa na kila nikijaribu kuchange pass word pia inanikatalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…