Baada ya Manny Pacquiao kuupinga ushoga, Nike wavunja mkataba

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,865
Bingwa wa ndondi, mbunge na raia wa Philipiness Manny Pac amevunjiwa mkataba wake na kampuni ya Nike baada ya yeye kuwafananisha watu wanaoshiriki matendo ya ndoa ya jinsia moja kama "wanyama".

Hali hiyo ilitokea wakati bondia huyo akihojiwa na majibu yake yalikuwa kama hivi:

“Do you see animals mating with the same sex? Animals are better because they can distinguish male from female. If men mate with men and women mate with women they are worse than animals.”

Baada ya majibu hayo, watu mbalimbali duniani na wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja walitoka hadharani na kumlaumu sana Manny Pacq, lkn yeye aliwajibu na kusema;

"I rather obey the Lord's command than obeying the desires of the flesh. Im not condemning anyone, but I'm just telling the truth of what the Bible says. The truth from the Bible is what changed me from my old ways. 1 Corinthians 6:9 "[9] Or do you not know that wrongdoers will not inherit the kingdom of God? Do not be deceived: Neither the sexually immoral nor idolaters nor adulterers nor men who have sex with men." God Bless everyone i love you all.

Baada ya kauli hiyo ya Manny ya kuupinga ushoga, leo kampuni kubwa ya vifaa vya michezo ya Nike imetoa tamko na kusema:

"Nike strongly opposes discrimination of any kind and has a long history of supporting and standing up for the rights of the LGBT community," Nike said in a statement. “We no longer have a relationship with Manny Pacquiao.”

Baada ya kauli hii, mtandao wa kampuni ya Nike umeondoa picha na matangazo yote yaliyokuwa yanamuhusisha Manny Pacq na kampuni yao.
 
Attachments

  • man p.jpg
    man p.jpg
    25.2 KB · Views: 78
Teh teh teh.
Siku hizi ktk nchi za Wazungu na baadhi ya Waafrika Ukiwasema Mashoga vibaya tu Unawekwa Ndani.

Tanzania Jiandaeni. Na sisi tunaelekea Huko huko.
 
Teh teh teh.
Siku hizi ktk nchi za Wazungu na baadhi ya Waafrika Ukiwasema Mashoga vibaya tu Unawekwa Ndani.

Tanzania Jiandaeni. Na sisi tunaelekea Huko huko.

Hapana sisi hatuendi huko kamwe...at least sio kwa utawala wa this patriotic president
 
Nike ipo kibiashara imeona kwa kauli hiyo wasipochukua hatua wao ndio watapata hasara. Walichofanya ni kumtoa Manny then wao wanakuwa kwenye safe side
 
safi sana pacman. makampuni shindani na nike hiyo kwao sasa ni fursa waingie nae mkataba naamini ataungwa mkono na watu wengi wanao pinga ushoga
 
Nike ipo kibiashara imeona kwa kauli hiyo wasipochukua hatua wao ndio watapata hasara. Walichofanya ni kumtoa Manny then wao wanakuwa kwenye safe side
Hata kama Mimi ndio ningekuwa Nike jambo la kwanza kulifanya ni hilo... Wapo kibiashara zaidi
 
Natamani na wapinga ushoga na usagaji nao wajitokeza ku-ban matumizi na kununua vitu/vifaa vyote vilivyotengenezwa na NIKE ili kuonesha mshikamano kwamba nasi hatukubaliani na kitendo chao cha ku-support ufirauni.
 
wazungu wote wanapenda kupumuliwa mkuu

sasa sijui akili zao zikoje....wewe utageuzaje kinyeo kuwa kitombeooo....hii ni zaidi ya laana.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom