Baada ya Machali nani anafuata?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,255
Reaction score
16,185
...kila mtu anayo haki kamili ya kujiunga na chama cha siasa atakacho lakini ni kweli Machali anaipenda CCM au kuna kitu kilichomsukuma kurudi CCM? ni kitu gani hasa hicho?. Hakuna asiyebandikwa bei mgongoni!!
 
Ile ile falsafa ya mkuu wa nchi ya *Hapa kazi tu*""""
 
Aende atakako hata akitaka kufunga kama za viatu za watu ili akumbukwe afunge tuu. Ujinga ni kipaji chake akitumie
Nimeuliza swali tangu jana lakini sijajibiwa. Hivi kuna anayefahamu Machali amekuwa akijishughulisha na nini baada ya kukosa ubunge? Isije ikawa anatafuta ajira!
 
...kila mtu anayo haki kamili ya kujiunga na chama cha siasa atakacho lakini ni kweli Machali anaipenda CCM au kuna kitu kilichomsukuma kurudi CCM? ni kitu gani hasa hicho?. Hakuna asiyebandikwa bei mgongoni!!
Hjvi mnaposema amerudi CCM Ina maana aliwahi kuwepo ccm awali na sasa karejea??
 
Chiku abwao, huyu mama cku yoyote anakwenda ccm, naona Olesendeka ndo anafanya iyo kaz sasa
 
Aende atakako hata akitaka kufunga kama za viatu za watu ili akumbukwe afunge tuu. Ujinga ni kipaji chake akitumie
Kitendo cha kushindwa uchaguzi kinaonesha yeye sio asset kwa chama aende tuu ngombe aliyekatwa mkia
 
Waliotoka Upinzani na kwenda CCM...
Wassira
Dr Kaburooh
Msabaha
hebu endeleza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…