Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

Ccm linapokuja suala la siasa unahitaji akili kubwa sana kudeal nao.
Akili kubwa ndo ya ndimi mbili kama ya mbowe ule nao siyo?

Mi nkajua akili kubwa ni hoja kwa hoja na si hoja kwa mabavu na kutumia dola na kuipa maelekzo mihimili ikandamize haki na usawa wa mtu
 
Rubbish, usituchoshe na pamba zako
 
Sawa umeandika mengi ila kikubwa kwetu ni awe huru kwanza hayo mengine ni maoni yako.
 
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake lakini anayajua mengi na anauzoefu mwingi kuhusu mifumo ya Tanzania kuliko unavyodhani. Anajua anachokifanya.

Angekuwa mkurupukaji kama unavyodai asingeweza kushinda uenyekiti wa CHADEMA. Ile haikuwa bahati bali mkakati madhubuti.

BTW, wewe sio miongoni mwa wale waliodai hapa kuwa hawezi kushinda?
 
Utashambuliwa lakini ndio ukweli.

Vita inahitaji silaha zote na akili zote.
Ukienda vitani na akili moja lazima upigwe mapema sana.

Ulichokisema ndio ilipo Tofauti ya Mbowe na watu wengine huko CDM.
Ndipo ilipo tofauti ya JK na watu, ndio maana kila siku anaibuka mshindi.

Mfano Kabudi, yeye anajua alivyosoma darasani shuleni na kanisani sasa ukimleta kwenye dunia ya fujo lazima apigwe.
Ndio maana wale Wakenya wa Korosha walitupiga kitoto, maana unataka kutumia akili za darasani kufanya biashara na wahuni wenye akili zote, darasani na kitaa.

mitaa ya Khartoum Sudani.
 
Umesema vizuri, common sense is not common, hapo ndio Lissu anakwama. Momentum mojawapo ambayo ingempa upenyo wa kisiasa ilikuwq kushiriki uchaguzi apate wabunge wengi, wabunge hao wawe ngazi/daraja la kuitikisa CCM baada ya kuichachafya bungeni
 

Hizi ni mbinu za kuchelewesha makusudi mabadiliko ya kweli ambayo Umma unayahitaji Sana kwa Sasa. Akitoka aendelee mbele kuanzia pale alipoishia
 
Akili kubwa ndo ya ndimi mbili kama ya mbowe ule nao siyo?

Mi nkajua akili kubwa ni hoja kwa hoja na si hoja kwa mabavu na kutumia dola na kuipa maelekzo mihimili ikandamize haki na usawa wa mtu
Mabavu huwa hayadumu muda mrefu dhidi ya akili. Mwenye akili atashinda tu. Ila iwapo mwenye akili ana mabavu hapo sasa inahitajika akili zaidi kudeal naye.
 
CDM ishavuka mambo ya ujenzi, CDM ni Imani & Dini...ni sawa na kuyafunga makanisa ya Gwaji ukitegemea yasambaratike baada ya miaka 5, ni kutojielewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…