Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Mie nko hoi msm huu
Hongera kwa mabingwa Chelsea,ila msimu ujao ni zamu ya Man United bila ubishi...
Funguka mkuu vp
Funguka mkuu vp
Kichapo cha Jana kimenimaliza na kunizka kbsa
Huyo huna haja ya kumjue sana lazima atakuwa alikula 6 - 1 jana haaa haaa.
Pole sana mkuu inabidi mtulie sana msimu ujao kwenye usajili siku zote ndio unaowaangusha!
Unasemaaaaaaa??
Unasemaaaaaaa??
kwan haujackia au kbur 2 ndo kinakusumbua?