Baada ya kuzama Edx, Coursera na Free code camp

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,943
Reaction score
1,059
Habari ya wakati wana Tech baada ya kupitia coursera, edx na free code camp nimekuja na portifolio yangu nimeitengeneza kupitia code pen na kutumia bootstrap niki view kwenye PC UX/UI zinakuwa vizuri lakini niki view kwa kutumia simu kuna contents nyingi sana hazionekani naomba mwenye uelewa anisaidie nimeweka link hapo chini


MvLLdo
 
Nakupongeza sana sana sana sanaaaa! kwa kujielimisha kupitia mimbari ulizozitaja. Watanzania wengi wanatafuta vyeti kuliko wanavyotafuta elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…