Baada ya kuweka window 7

Baada ya kuweka window 7

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Habar!! Wanajf kuna pc hp ya mdgo angu alikua anatumia window 10 baada ya kubadilisha na kuweka window 7 kuna baadh ya vitu vilionekana kupungua Mfano kutoka bit 64 had 32 na pia ram inaandika 4gb(usable 2) kwamba hii ndivo inavokaaga au ni vp waungwana kwa mwenye kuelewa hapo naomba ufafanuzi wakuu!!!
 
Hapo kwenye Bit kua 32bit ni option tu ambayo alichagua wakati akifanya installation ....ingawa 64 bit is the best
 
Hapo kwenye Bit kua 32bit ni option tu ambayo alichagua wakati akifanya installation ....ingawa 64 bit is the best
Nikifikiri 64/32 bit inadepend na system yako imetengenezwa kwa kupokea OS ya system yenye bit ipi(32/62) ingawaje ukiweka 64 kwenye machine ambayo ilitengenezwa ipokee 32 itaingia ila utendaji hautokua mzuri na kwa 64 hivyo hivy pia ukiweka 32 ingawaje utendaji unakua si mbaya, unaposema 64 bit is tje best ulikua na maana gani mkuu??
Nipe elimu
 
Windows uliyoweka sasa ni ya 32 bit ndiomana unaona hayo mambo.. Tafuta 64 bit ndio uweke tena.
 
Nimeifanyia kaz michango yenu na mambo yako saf now. Thanks all
 
Back
Top Bottom