kuna story zinasema hao jamaa baadhi yao wanatabia ya kuwategeshea wahuni 'TIGO' kwa kujifanya wapo chakari kumbe hamna kitu, nia yao yao wafanywe vibaya tu.
Alafu saa nane ya usiku hiyo nilikuwa natoka kupaki Gari kwenye parking ya kulipia, nikamgumia yupo peke yake barabarani kalala, maeneo ya kipunguni kwa mkolemba moshi bar wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.