Baada ya kutafakar kwa kina

Baada ya kutafakar kwa kina

mwarya hamadous

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
196
Reaction score
137
Nimegundua wanaosomeshwa number bila huruma sio watumishi wa umma,watumishitunasomeshwa number lkn afadhar ukifika mwisho wa mwez kama jana wamewekakamshahara kao kasikokuwa na ongezekopamoja na kuwa maisha yamepanda angalau unapunguza maden gengen kwa mpemba,balaa lipo kwa wasiokuwa na ajir jana kwa nyakati tofaut nimefatwa na watu wawili wenye familia zao wakitaka mkopo hata elf 15imagine...jaman har ngum mtaani mpka watu waanze kuuana...
 
Na Uchumba umevunjika pia ma Bint wameshindwa kuwavumilia Wapenz wao mana muda unaenda mahar hajapatikana
 
Kwa ujumla wimbo wa komba unahusika sana kipind hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom