respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,557
- 3,835
Hongera sana unamaono mazuri with bright vision. Nina matumaini kwamba hutayaacha maono yako yajifie tu kwasababu umekosa nafasi ya kuongoza BAVICHA ninahakika utashirikiana na mshindi ktk kulisogeza mbele guridumu la BAVICHA,Chadema na Taifa kwa ujumla.
Na hiki ndicho nilichokuwa nakipigania kuona kwamba makundi yote yaliyoundwa kabla ya uchaguzi kwasababu ya kampeni yanavunjwa baada ya uchaguzi ili kutoa mwanga,nafasi kwa uongozi uliochaguliwa kufanya kazi bila wasiwasi wowote
Nakupongeza sana kwa kujitambua.
BACK TANGANYIKA