Nimeanza kuhisi hivyo maana si kwa speed hiiHamna mwanamke hapo huyo atakuwa kurumbembe tu ameona fursa ya bata.
Ahaha mtu ameingia king kizembe sanaSiku ukitupia aunakunywa K-Vant unaoa kabisa
Tatizo hamueleweki nini mnapenda zaidiKama bia ni kipimo cha maendeleo basi ni kweli tuko uchumi wa kati.
Hamna mwanamke hapo huyo atakuwa kurumbembe tu ameona fursa ya bata.
Inaonekana na yeye ni mtumiaji mzuri sana. Ameona fursa jipange 🤣🤣Habari wakuu
Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea