Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

Hahahaaaaq acha nicheke kiume mimi,kwa hyo alikua hampendi mwanao siyo.Hawa watoto wakike hua na huruma sometime lakini wanaroho mbaya ajabu ndo mana mi nasema nikiachana na mama watoto wangu nabeba watoto napeleka kwa shangaz yao qfu sioi tenaaaa
 
We ni muhuni kama wahuni wengine tu
Samahani kama nimekukwaza kwa kukwambia ukweli ila lazima nikwambie maana huna cha kunifanya na wewe ni mwanaume kama mimi tu
Hujanikwaza kwa lolote... Uhuni ni neno tuu hata matapeli ni wahuni tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…