Baada ya Kumwagwa mawaziri 6, Je ni Wakuu Gani wa Mashirika wanafuata?

Hakuna wa kuwagusa hao
[/COLOR]Hao niliyowawekea red hapo wanatakiwa kushughulikiwa kama special case maana hawa ni watu waliosababisha matatizo mengi sana kwa jamii. Hii wizara ya afya na taasisi zake imekua na magumashi mengi sana yaliyoleta hasara kutokana na uzembe wa wachache hawa.
 
Tiss ya tanzania au taiwan?
JF ni zaidi ya unavyoifahamu, hata kama JK hapitii lakini vyombo vyake vinasoma na tunaona baadhi ya ushauri ambao unaanzia hapa.

Ushauri kwa TISS na kwa Chief Secretary, nendeni kwenye hizo taasisi kawasimamisheni kazi hao watu kwani kadri munavyo subiri amri ya JK ndivyo ambavyo wana haribu ushahidi kwa kuficha au kuharibu ushahidi utakao saidia kuwa incriminate kwenye mahakama.
 
Mkurugenzi mkuu TAKUKURU
Mkurugenzi mkuu usalama wa Taifa
Hawa nao either ni wazembe au nao wamo kwenye mtandao wa wizi.Swali hapa wao kazi yao ni nini mpaka wanashindwa either kuzuia au kugundua madudu haya.Je wanahongwa?Nimemsahau huyu mzee wa intelijinsia ya maandamano tu na sio huu ufisadi na si mwingine bali ni
Mkuu wa jeshi la polisi nchini.
Hivi wakati wanyama wanasafirishwa kwenye magari huko barabarani hakukuwa na traffic na kama walikuwepo iweje nao wakae kimya?Au walisafirishwa hewani.Kama ni hewani huyu mkurugenzi wa usafiri wa anga(TCAA) nae hakuyajua haya?
basi nae aingie kwenye hii orodha.
 
kwa mazamo wangu najua hawatapelekwa mahakamani watadai hamna ushahidi wa moja kwa moja kama kawaida yao cha msingi tukusanye ushahidi tukawafungulie kesi wote... kama zito alivyoanza kutafuta zile saini 70... na sisi tuanze hivyo hivyo ushahidi tutaupata tu... tumuombe Tundu Lisu akawaning'inize mahakamani
 
3. Omar Chambo - PS Uchukuzi
4. Mkurugenzi - TPA
5. Mkurugenzi - ATC
6. Principal - Chuo cha Bahari Dar es Salaam
7. Mkurugenzi - MSD
8. Principal - Chuo cha Elimu Chang'ombe
9. Principal - Mkwawa University
10. VC - UDOM
11. etc

your right!!!
 
:A S 465:MUSTAFA MKULO MWAKA 1995, ALIACHISHWA KAZI NA ALIYEKUWA RAIS WAKATI HUO MHE, BENJAMIN WILLIAMU MKAPA KWA AJILI YA UBADHILIFU WA FEDHA KATIKA MOJA MIFUKO HAPA TANZANIA NA HILO ALILIJUA, CHA AJABU JK BAADA YA KUWA RAIS AKAMSHAURI AKAGOMBEE UBUNGE NA AKAMPA UWAZIRI KWA AJILI YA URAFIKI WAO WAKATI WAKIENDA WOTE MSONDO PALE AMANA ENZI ZAO SASA MWANA JF UNATEGEMEA NINI HAPO KAMA SIYO LAO MOJA AMEMWONDOA KWA SHINIKIZO LAKINI MOYONI MWA JK MKULO BADO YUMO :spy:
 
:A S 465:MUSTAFA MKULO MWAKA 1995, ALIACHISHWA KAZI NA ALIYEKUWA RAIS WAKATI HUO MHE, BENJAMIN WILLIAMU MKAPA KWA AJILI YA UBADHILIFU WA FEDHA KATIKA MOJA MIFUKO HAPA TANZANIA NA HILO ALILIJUA, CHA AJABU JK BAADA YA KUWA RAIS AKAMSHAURI AKAGOMBEE UBUNGE NA AKAMPA UWAZIRI KWA AJILI YA URAFIKI WAO WAKATI WAKIENDA WOTE MSONDO PALE AMANA ENZI ZAO SASA MWANA JF UNATEGEMEA NINI HAPO KAMA SIYO LAO MOJA AMEMWONDOA KWA SHINIKIZO LAKINI MOYONI MWA JK MKULO BADO YUMO :spy:

Babjaj you are quite right, watu wote alio wamwaga Mkapa na JK akawapa kazi kwa ushikaji wamemwangusha. Mwingine ni Dr Idrissa Rashid aliyekuwa Tanesco na David Matakka aliyekuwa ATCL.
 
sasa hivi sisi wote tuliotuhumiwa wanatutegemea sana kwenye bajeti ijayo. Hivyo kutumwaga fasta fasta hawezi. Lakini shida yenu si mlitaka awaondoe mawaziri sita tu? Acheni roho mbaya!

:blah: mtawekwa hapo kwa mda mtayarishe bajeti alafu mnatolewa na mahakamani mtafikishwa
 
Back
Top Bottom