Baada ya kumtongoza

Nunua simu kwanza halafu akikubomu tena ujue unatakiwa uzame kwenye should. Engine yasubiri
 

tumeshakaribia ahsante...naomba pepsi ya.baridi sana na tissue usisahau
 
hadi hicho unaomba ushauri?? chuo siku hizi kuna asilimia kubwa ya wasioweza pambanua vitu. unge google tu swali lako
 

P6 ni simu gani?..Ahaa, kumbe TECNO...:lol::lol:
Next time ukibata boom nunua meza na kiti cha kusomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…