Kuandika mistar ya bible sio kua n muumini hata mm naweza shusha verse na matendo yakawa tofauti na vile unavofikiri kama moyo Wako umeamua bas hakuna namna jiongeze
Ni rahisi zaidi kumshauri mtu kuhusu girfriend/boyfriend, kwa maelezo yako inaonekana unahitaji kuoa kama sijakosea, ni ngumu sana kushauri juu ya mke/mume kwasababu ya dhana nzima ya "milele" i.e wa kufa na kuzikana