Baada ya kumaliza VETA naweza kujiunga na DIT au VETA Kipawa?

Brown Tz

Member
Mar 31, 2017
20
5
Jamani naomba msaada hivi baada ya kumalizaa veta kozi ya umeme ya miaka miwili naweza kujiendelezaa tena kwa kujiunga na chuo cha DIT dar es salaam au veta kipawa kuendelea kusoma kozi hiyo hiyo ya umeme naomba msaada wadau
 
Mkuu inategemea na Level uliyomaliza na kufaulu mfano Ukimaliza level 2 na kufaulu unaweza enda chuo chochote kumalizia level 3 ulishamaliza na kufaulu unaweza kusoma chuo chochote kwa level 4,5&6 maana level 4,5&6 unatakiwa uwe na cheti cha form Four na hicho cha VETA
Thanks
 
Nimesoma masomo ya Arts napenda nikasome veta kuhusu umeme je inaweza kuwa kikwazo kwang kupata chuo
Haina shida ni wewe tu ila kule Physics na Math ipo pale pale ila kuendelea na masomo ya juu kama Diploma na kuendelea unatakiwa kuwa na cheti tu cha Form Four haijalishi ina masomo gani ili Mradi uwe na cheti cha VETA
 
Nasikia kunachuo kipo musoma kinamilikiwa na uongoz wa dini wanatoa coz kwa muda mfup anayekifahamu tafadhal nisaidie
 
VETA bwanaaaaaa
Mara grade mara level hadi sielewi

Binafsi nimesoma Veta Mbeya kabla sijamaliza form Four

Nilipiga level I, II na III kwa muda wa mwaka mmoja tuuu yaani mwezi wa 11 mwaka 2009 mwezi wa 5. 2010 na Mwezi 11. 2010

Hizo koz nimepiga wakati nipo form 3 na form 4

Nilikuwa genious sanaaa

Nikatunukiwa cheti cha industrial electrical fitter level III
 
Ukienda veta kipawa ukamsalimie mama thelathini wa Ilala secondary pale jirani na veta
 
Kama una level 3 na form 4 nzuri,unaweza kuomba DIT,utafanya mature entry, kama una level 2 au 1,basi nenda Veta malizia Hiyo level 3 kwanza
Mature entry imefutwa ataingia kwa pre entry
 
VETA bwanaaaaaa
Mara grade mara level hadi sielewi

Binafsi nimesoma Veta Mbeya kabla sijamaliza form Four

Nilipiga level I, II na III kwa muda wa mwaka mmoja tuuu yaani mwezi wa 11 mwaka 2009 mwezi wa 5. 2010 na Mwezi 11. 2010

Hizo koz nimepiga wakati nipo form 3 na form 4

Nilikuwa genious sanaaa

Nikatunukiwa cheti cha industrial electrical fitter level III
Tufahamixhe zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom