Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Hawa watu ni hatari na nakumbuka hata hapa Tanzania walishawahi kuleta maafa. Kama mtakumbuka vizuri majambazi ya kisomali yalishawahi kumuua OCD, kama siyo wa Kiteto basi Babati, na hiyo ilikuwa ni miaka ya 90 mwishoni. Anaye kumbuka atuwekee vizuri.