Baada ya kula tunda sioni kitu 'special' kwake

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Direct to the point,

Inashangaza emotional efforts nilizotumia, muda wangu na mali zangu kusaka penzi la huyu binti, lakini ghafla baada ya kula tunda sioni tena kitu special kwake.

Hii sio mara ya kwanza kupatwa na feeling kama hizi ila utokea tena kimbelefront cha kutaka kujua kama yaliyomo yamo kwa wasichana wengine.

Kitu nikichokuja kugundua nyege ndo tatizo ila kimsingi hakuna jipya kwa wasichana.
 
Ni kweli.
 
Punguza tamaa za kimwili, kama una uwezo wa kuowa tafta wa kuowa utainjoy, mali itatulia na utakua na familia bora kabisa. Ukitembea na wengi unajipunguzia hadhi na baraka ktk maisha yako.
 
una umri gani bwana mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…