P Ptz JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 541 Reaction score 385 Apr 7, 2012 #1 Baada Mwigulu Mchemba na wenzake kuiua rasmi ccm Arumeru, leo ameoneka nyumbani kwa Kanumba Sinza na skafu yake ikining'inia shingoni. Nimeona makada kibao wa ccm, source itv taarifa ya habari saa mbili.RIP ccm, RIP Kanumba
Baada Mwigulu Mchemba na wenzake kuiua rasmi ccm Arumeru, leo ameoneka nyumbani kwa Kanumba Sinza na skafu yake ikining'inia shingoni. Nimeona makada kibao wa ccm, source itv taarifa ya habari saa mbili.RIP ccm, RIP Kanumba
andrewk JF-Expert Member Joined Apr 13, 2010 Posts 3,102 Reaction score 491 Apr 7, 2012 #2 Mchemba ni mshamba sana, yeye hivyo vi skafu anadhani ndio utanzania au uccm
STK ONE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 627 Reaction score 184 Apr 7, 2012 #3 Nchema kwetu mpimbwe huko mpanda ni kukata....Mwigulu ameikata kweli kweli CCM...keep up brother...kata CCM hadi ibaki vipande vipande...
Nchema kwetu mpimbwe huko mpanda ni kukata....Mwigulu ameikata kweli kweli CCM...keep up brother...kata CCM hadi ibaki vipande vipande...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Apr 8, 2012 #4 Nipige kichwani labda nitaelewa. Hata mie nimemwona kwenye taarifa na skafu ya bendera, nikaamini kuwa kukariri kubaya sana. Amekariri akitoka lazima awe na skafu? Anaweza kwenda kuposa na skafu huyu.
Nipige kichwani labda nitaelewa. Hata mie nimemwona kwenye taarifa na skafu ya bendera, nikaamini kuwa kukariri kubaya sana. Amekariri akitoka lazima awe na skafu? Anaweza kwenda kuposa na skafu huyu.
Head teacher JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 1,796 Reaction score 413 Apr 8, 2012 #5 ni lofa
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Apr 8, 2012 #6 Kongosho said: Nipige kichwani labda nitaelewa. Hata mie nimemwona kwenye taarifa na skafu ya bendera, nikaamini kuwa kukariri kubaya sana. Amekariri akitoka lazima awe na skafu? Anaweza kwenda kuposa na skafu huyu. Click to expand... kama alivyo kariri dalasa la saba
Kongosho said: Nipige kichwani labda nitaelewa. Hata mie nimemwona kwenye taarifa na skafu ya bendera, nikaamini kuwa kukariri kubaya sana. Amekariri akitoka lazima awe na skafu? Anaweza kwenda kuposa na skafu huyu. Click to expand... kama alivyo kariri dalasa la saba
T TEMILUGODA JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 1,389 Reaction score 285 Apr 8, 2012 #7 andrewk said: Mchemba ni mshamba sana, yeye hivyo vi skafu anadhani ndio utanzania au uccm Click to expand... Wengi hawajui siri ya skafu anazovaa mzinzichemba,ni dawa za mganga wake ndimo zilimowekwa
andrewk said: Mchemba ni mshamba sana, yeye hivyo vi skafu anadhani ndio utanzania au uccm Click to expand... Wengi hawajui siri ya skafu anazovaa mzinzichemba,ni dawa za mganga wake ndimo zilimowekwa
Micro E coli JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 938 Reaction score 192 Apr 8, 2012 #8 Sijui lina nini somi kubwa lkn lishamba kweli wenzake huvaa vitambaa vyeusi au nguo nyeusi lenyewe limeng'ang'ania skafu ya bendela ya taifa.
Sijui lina nini somi kubwa lkn lishamba kweli wenzake huvaa vitambaa vyeusi au nguo nyeusi lenyewe limeng'ang'ania skafu ya bendela ya taifa.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 Apr 8, 2012 #9 hatoisahau arusha!nina uhakika hatakanyaga tena arusha...!
Puppy JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,995 Reaction score 2,540 Apr 8, 2012 #10 Milele hatosahau. Kilichomkuta kule mulala, wekwa vibao vya kutosha.