jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 109
Habari zenu wana JF...
Juzi nimefanya mapenzi na wanawake wawili tofauti. Leo nahisi kichwa cha uume kinawasha... Je ni dalili ya ugonjwa gani?
Hao niliofanya nao mmoja amepima hana UKIMWI na mwingine pia yupo safi... Ila huu ugonjwa unanipa wasiwasi...
Naombeni mnishauri.
==================
TAARIFA: Uzi huu umehaririwa ili kuendana na muktadha wa Jukwaa hili (JF DOCTOR) na kuwezesha kupata michango yenye tija kwa tatizo husika.