Baada ya Kuachwa Simba na Taifa Starz

Sijui umbea utaisha lini kwa vijana wa tanzania.

wewe komaa na upuuzi wa kwenye siasa tu ingawa nako ni mtupu huna point usirukie mambo usiyoyajua

Issue hapa ni kwamba Kaseja ni balozi wa Pepsi so ana breach contract kwenye hiyo picha
 
ndio umuhimu wa kuwa na GT humu, wengine wanadandia tu
wewe komaa na upuuzi wa kwenye siasa tu ingawa nako ni mtupu huna point usirukie mambo usiyoyajua

Issue hapa ni kwamba Kaseja ni balozi wa Pepsi so ana breach contract kwenye hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…