Kweli mkuu, kuna pimbi amekurupuka hapo juu.kama wewe ni GT lazima uwe na jicho kali hapa, vinginevyo utatokwa na povu bure
inasemekana baada ya kulamba bingo Yanga kaacha tena hii biashara
Kama biashara inalipa kwanini asifanye...
mwacheni kaseja ajinafasi money is every thing
Huyu jamaa alichelewa kusaini mktaba na Yanga katk kipengele cha matangaz kwa kuwa ana MKATABA na PEPSI, leo namuona na AZAM
unamaanisha Mbeya City?