yaani leo namuwaza sana my ex ukizingatia limama watoto limeniudhi ndo kabisaaaa.it really was perfect but shit happens and now am stuck na huyu arghhhhhh
Dr. Chichi poleh sana muheshimiwa ndo maana wananiulizaga kwann nipo nipo kwanza nacheka cheka tu ilaaaa majibu yapogo moyoni....... Maana nahisi nliotema nao ndo suits mi.