kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
Kazi mnayo jamani....
hahahah kazi tunayo we umeoa ama kuolewa na mgomba nini??
Me huwa naamini kwamba it waz our fate that we had to break some where....
Above all, above our imperfections....IT WAS BEAUTIFUL, I do appreciate........
Life has to go on!
Mhhhhh! Your original ID please!!!!!!
Join Date : 19th June 2014
Posts : 32
Rep Power : 307
Likes Received: 12
Likes Given8
Hate the player but not the game
If you come back_Blue
If you come back_Blue
Memories ni kitu kibaya saana na kinachoumiza zaidi baada ya kuachana na mpenzi wako.........
Hata kama mtu ulikua humpendi ila kuna that part of him o her itakayokuwa inakufanya umkumbuke na hapo ndo mtu unapokua unaiona chungu ya kuachana.......... mbaya zaidi siku hizi these social networks ndo balaa unapitia pitia Insta ama fb ama kwingneko unaona picha zake tena anaonesha he o she is happy zaidi ndo unazidi JICHUKIA na kujiona kama wewe ndo ulikua a PAIN in his or her as...s.
Hapa haimati kama wewe ndo ulizingua ama yeye the thing is KUACHANA............
Poor me........oooooohhhh sh×t "A" nakukumbuka mpk kesho....... you were the best....... you are the best............ and you will always be. I wish i could turn back the hands of time.
inaumiza sanaYaan that song is my favorite na hata hainikinaigi and my best part is
So if I did
Something wrong
Please tell me
I wanna understand
'Cause I don't want
This love to ever end
And I swear
If you come back
In my life
I'll be there till the end of time
Na hii ya r kelly
If I could turn, turn back the hands of time
Then my darlin' you'd still be mine
If I could turn, turn back the hands of time
Then darlin' you, you'd still be mine
Funny, funny how time goes by
And blessings are missed in the wink of an eye
Why oh why oh why should one have to go on suffering
When every day I pray please come back to me
For sure love sucks maana at times one mistake magoli elfu
inaumiza sana
Dr. Chichi poleh sana muheshimiwa ndo maana wananiulizaga kwann nipo nipo kwanza nacheka cheka tu ilaaaa majibu yapogo moyoni....... Maana nahisi nliotema nao ndo suits mi.yaani leo namuwaza sana my ex ukizingatia limama watoto limeniudhi ndo kabisaaaa.it really was perfect but shit happens and now am stuck na huyu arghhhhhh
Mh. Bak nlikua natumia jina halisi sasa kwa sababu za kiusalama had to do this one msee....... Relax n jas know mi mwenyeji mnoo.......