Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 85
Mpigwaji ni ndugu yangu wa damu wa kufa na kuzikana ,mpigaji MWENYE NGUO ZA URAIA namjuwa kama vike nilijuwavyo jina langu ni mtoto atokanae katika familia ambayo hakuna tafauti na omba omba lakini alijikubalisha kutumika kufanya mambo kama haya wana jamii mimi nikiwa kama binadamu mwingine bado inaniuma kitendo alichofanyiwa ndugu yangu ambae alikuwa hana hatia, makosa yake yalikuwa ni kupita katika maeneo katika wakati sio na kumkumba hayo ,bado dukuduku langu lipo moyoni nini mnanishauri ?
hayo yalitokea wakati wa uchaguzi uliopita.
hayo yalitokea wakati wa uchaguzi uliopita.