Baada ya hotuba ya Rais leo, tujiandae kuona utitiri wa ID mpya hapa JF zenye mrengo wa kumshambulia

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
8,859
23,119
Nachojua ayubu na wote walio nyuma au mbele yake hawatakubali. Nahivi wanajua bimkubwa anachungulia mitandaoni sana ukiwemo hapa Jf tujiandae kupokea wageni lkn wenyeji sana hapa.

Kama sio kwa maelekezo ya moja kwa moja toka kwa ayubu basi itakuwa ni hasira za wale watakao achwa au kutemwa na mama baada ya kuwaona au kuwahisi wanamzunguka. Watataka kumwaga mboga maana ugali umeshamwagwa tayari.

Homa ya uchaguzi 2025 imeshika kasi. Angalizo tu japo najua wanajua kuwa mama siyo mgeni wa ccm. Alianzia ngazi za chini kwenye chama na serikali mpka kuja kuwa mwenyekiti wa chama na rais wa nchi. Anazijua fitna zoote, na sio mgeni wa maswala ya makundi kwenye chama. Na hivi ameshika rungu atawanyoosha.

Kinachokera tupo tuliodhani imebaki mitano tuu, kumbe inaongezeka mitano mingine, yaani kumi, dadeki..

Ñb: sina mrengo wowote wala ushabiki kwenye hili na hivi sijawahi kupiga kura kwangu mm bora liende tuu.
 
Nani kakudanganya mkuu, huwajui hawa wananchi wanavyojua kuuza utu wao na kujikomba. Kila mmoja ataanza kumsifu mama take my words. Hawanaga msimamo hawa! Huyo Ayubu mwenyewe kakutwa anajisaidia badala akomae kaamua kukalia nnya kuficha na bahati mbaya haijasaidia chochote wamemuumbua
 
Kiberiti kimejaa ajiamini asonge mbele awashe moto mkubwa tuone ukiwaka sio mikwara ya uoga. Uimara wake ndio uimara wa Tanzania. Kila la kheri afanikiwe asonge mbele
 
Back
Top Bottom