Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,412
- 283,619
Ya Mdude imeishafika dunia nzima , lakini hata kama lengo lao ni kusahaulisha ya mdude watakuwa wamekosa ubunifu , umaarufu wa Gwajima baada ya kurudi ccm ni kama umekufa kifo cha mende , hana uwezo wa kutumika kusahaulisha lolote lileTUSISAHAU KUTEKWA MDUDE.
NB: Hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya, sababu lazima iwepo
ulitabiri anguko la Ole Gunnar ikawa kweli.Ya Mdude imeishafika dunia nzima , lakini hata kama lengo lao ni kusahaulisha ya mdude watakuwa wamekosa ubunifu , umaarufu wa Gwajima baada ya kurudi ccm ni kama umekufa kifo cha mende , hana uwezo wa kutumika kusahaulisha lolote lile
Mikutano yote ya Magufuli yeye yupo , hata ya kizushi ya makinikia amehudhuria , hana tofauti na Mrema , Cheyo na Lipumbaulitabiri anguko la Ole Gunnar ikawa kweli.
Gwajima alirudi lini kuwa karibu na ccm? Sikumbuki
hii ndio kusema kesi ya Sheria ya mtandaoni watazuga zuga sio?Mikutano yote ya Magufuli yeye yupo , hata ya kizushi ya makinikia amehudhuria , hana tofauti na Mrema , Cheyo na Lipumba
TUSISAHAU KUTEKWA MDUDE.
NB: Hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya, sababu lazima iwepo
Subiri yakufike ya Magu na wasio julikana wake ndo utajua kama Zithromax ni jina la dawa au la binadamu.Mkuu huyo mtu anaitwa MdUDe Mdude .., ndo nani hapa kwetu na ana umaarudu gani na ni kwa nini aitwe mdude , jina baya hivyo
Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 , akaungana na wananchi kusisitiza wenye vyeti feki kuondolewa baadaye akawageuka wananchi pamoja na Mungu na kuamua kuungana tena na wale wale aliopambana nao ! Haifahamiki kama alilipwa chochote ama aliahidiwa nafuu yoyote .
Sasa leo wamemtengenezea sinema mpya baada ya ishu ya madawa ya kulevya kushindikana , haijalishi kama watafaulu ama watafeli lakini hii ni ishara ya Mungu kuchukizwa na usaliti wake , ikumbukwe kwamba Yesu Kristo pamoja na uwezo wake mkubwa kuliko Gwajima hakuwahi hata mara moja kumsaliti Mungu , hakuwahi kuungana na watekaji hata kwa ahadi gani .
Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kwamba anayefuatia ni Zakaria Kakobe , lengo kuu likiwa ni kuwadhalilisha wote waliojifanya kupigania wananchi huko mwanzo na sasa wameungana na watawala ili kuwaonyesha wananchi kwamba kumbe watu hawa si lolote na wala hawakuwa lolote
Ni mtanzania kama weweMkuu huyo mtu anaitwa MdUDe Mdude .., ndo nani hapa kwetu na ana umaarudu gani na ni kwa nini aitwe mdude , jina baya hivyo
Tunamtakia kila la heriGwajima,hana hekima.ni nyoka
Jina zuri ni lile unalomiliki weweMkuu huyo mtu anaitwa MdUDe Mdude .., ndo nani hapa kwetu na ana umaarudu gani na ni kwa nini aitwe mdude , jina baya hivyo
Ninakuhakikishia kwa Zachary Kakobe utasubiri sana tunamuombea Baba yetu huyu wa kiroho usiku na mchana.Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 , akaungana na wananchi kusisitiza wenye vyeti feki kuondolewa baadaye akawageuka wananchi pamoja na Mungu na kuamua kuungana tena na wale wale aliopambana nao ! Haifahamiki kama alilipwa chochote ama aliahidiwa nafuu yoyote .
Sasa leo wamemtengenezea sinema mpya baada ya ishu ya madawa ya kulevya kushindikana , haijalishi kama watafaulu ama watafeli lakini hii ni ishara ya Mungu kuchukizwa na usaliti wake , ikumbukwe kwamba Yesu Kristo pamoja na uwezo wake mkubwa kuliko Gwajima hakuwahi hata mara moja kumsaliti Mungu , hakuwahi kuungana na watekaji hata kwa ahadi gani .
Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kwamba anayefuatia ni Zakaria Kakobe , lengo kuu likiwa ni kuwadhalilisha wote waliojifanya kupigania wananchi huko mwanzo na sasa wameungana na watawala ili kuwaonyesha wananchi kwamba kumbe watu hawa si lolote na wala hawakuwa lolote
Aliposema anakula bata ikulu huku watu wakitekwa na kuuawa ulimuombea pia ?Ninakuhakikishia kwa Zachary Kakobe utasubiri sana tunamuombea Baba yetu huyu wa kiroho usiku na mchana.