Ha ha haa hapo kwenye "njaa" mwisho utawaita ni Makarai.Nan wa kumpokonya... Mashinji ama? Angalia mtu aliye ngangali... Yeye akiporwa basi ataendelea na ubunge wake... Ila kuna vijana nna imani nao sana ila inaonesha wana njaa mnoo
1.yeriko nyerere
2.malisa
N. K wakumbukwe hawa
Mbowe chini akisaidiwa na busara za katibu mkuu wake Dr. Slaa alikuwa mwenye busara sana na mikakati.Huyu jamaa yuko imara sana na ngangali.... Hakuna mwenyekiti jasiri kama huyu kuwahi tokea tz.... Amejitahidi sana kuimarisha chama na chama kinakua... Chadema wakijiroga wamtoe huyu waweke ujinga mwingine.... Nnao waamini
1.lisu
2.lema
Labda ndio wapewe baada ya mbowe..
Pindi nasoma ....ukiambiwa umepata karai jua ni sifuri hiyo.....Daah huu msemo wa Karai unatreeeend
Naendelea na hoja, nani anafuta?SIASA ZA NDANI: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kigoma Kusini katika miaka ya 2010-2015, David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Adai kutokuwa na imani tena na upinzani katika kupambana na ufisadi.
Kwa muendelezo huu wa kuingia na kutoka kwa wanasiasa katika vyama vyao, nini mtazamo wako kwa mustakabali wa siasa nchini?
Considering the way biashara inavyomuendea,unaweza kuwa karibu na ukweli.