Nadhani haya makarai yatakuwa yamechoshwa na kuwekwa madawa ya kusafisha watu walioaminiwa kuwa wachafu wakati wakiwa CCM!Ngoja makarai yanakuja utapata majibu
Sitaki kuwachosha.... Mi nile kuku kwa mrijaaa basiiHa ha haa wewe kiboko yako Mhe Mnyeti
Huyu jamaa yuko imara sana na ngangali.... Hakuna mwenyekiti jasiri kama huyu kuwahi tokea tz.... Amejitahidi sana kuimarisha chama na chama kinakua... Chadema wakijiroga wamtoe huyu waweke ujinga mwingine.... Nnao waamini
Yupo kiiza besege wa uganda naye anajitahidi sanaa
Kwa nini asiwe jasiri kama ruzuku yote anakula peke yake.!Huyu jamaa yuko imara sana na ngangali.... Hakuna mwenyekiti jasiri kama huyu kuwahi tokea tz.... Amejitahidi sana kuimarisha chama na chama kinakua... Chadema wakijiroga wamtoe huyu waweke ujinga mwingine.... Nnao waamini
1.lisu
2.lema
Labda ndio wapewe baada ya mbowe..
Kwahyo ulitaka ale nan na kwa kazi gani.... Ata mimi ningekula na kuuwa chama kabisa.... Anakula rudhuku na chama kinasonga mbele... Tofauti na wenyeviti wa vyama vingine... Wanakula rudhuku na vyama vinakufa.. Mf. Lipumba, mlemaKwa nini asiwe jasiri kama ruzuku yote anakula peke yake.!
Kwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?Kwahyo ulitaka ale nan na kwa kazi gani.... Ata mimi ningekula na kuuwa chama kabisa.... Anakula rudhuku na chama kinasonga mbele... Tofauti na wenyeviti wa vyama vingine... Wanakula rudhuku na vyama vinakufa.. Mf. Lipumba, mlema
Kwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?Kwahyo ulitaka ale nan na kwa kazi gani.... Ata mimi ningekula na kuuwa chama kabisa.... Anakula rudhuku na chama kinasonga mbele... Tofauti na wenyeviti wa vyama vingine... Wanakula rudhuku na vyama vinakufa.. Mf. Lipumba, mlema
Nan wa kumpokonya... Mashinji ama? Angalia mtu aliye ngangali... Yeye akiporwa basi ataendelea na ubunge wake... Ila kuna vijana nna imani nao sana ila inaonesha wana njaa mnooKwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?
Bado miradi anayo mkuu atafanya shughuli nyingineKwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?
Kwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?
Na zile bilioni za mamviKwa nini asiwe jasiri kama ruzuku yote anakula peke yake.!