GE2025 Baada ya CHADEMA kusambaratika, Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,825
Uhuru kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu umeongezeka na mazingira bora zaidi ya kisheria kwa wananchi na wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa kwa usawa, uhuru, uwazi na haki yameboreshwa na kua bora zaidi.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa October, vyama vya siasa nchini vinaenjoy kwa kiwango kikubwa sana fursa na nafasi ya kuchangamana na wananchi kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini bila fujo, maandamano ya ghasia au vurugu tofauti na kipindi kilichopita kabla ya kusambaratika kwa CHADEMA.

Mazingira ya kiusalama yamewekwa kote nchini ili kusudi vyama vya siasa vifanye shughuli zao kwa amani na usawa kwa mujibu wa sheria, huku usalama wa raia na mali zao ukiwa katika uhakika wa kiwango cha juu zaidi.

Sote ni mashahidi,
huenda chadema ndio ilikua chanzo cha fujo, vurugu, uharibifu, dhuluma za uhai wa watu wasio na hatia na ghasia nyingine mballimbali za kisiasa kama vile watu kupotea n.k.

Hivyo naweza kusema without fear of contradictions kwamba, kusambaratika kwa chadema nchini kumeimatisha amani, utulivu wa kisiasa na kumechochea kwa kiasi kikubwa sana uhakika wa usalama wa watu na makazi yao, lakini pia kushamiri na kusitawi kwa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wale ni kikundi cha wahuni ila wamekutana na strong government. Magu alishamalizana na Lissu mama alijipendekeza nafikiri sahv anajutia. Lissu ni sawa na kunguru wa Pemba hafugiki yule
 
Demokrasia ni nini mkuu?
 
Ndipo ulipofikia uwezo wako wa kufikiri.

Kuna watu huwa nashindwa kabisa kujua hasa nini hukaa kwenye ufahamu wao!

Anyway, acha nisiongeze neno nisije kutukana😞
Yes,
enjoy demokrasia ya kweli ya vyama vingi bila fujo baada ya ya chama cha vurugu Chadema kusambaratika 🐒
 
Wale ni kikundi cha wahuni ila wamekutana na strong government. Magu alishamalizana na Lissu mama alijipendekeza nafikiri sahv anajutia. Lissu ni sawa na kunguru wa Pemba hafugiki yule
ila kunguru hana shukrani aise dah 🐒
 
Uhuru kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu umeongezeka na mazingira bora zaidi ya kisheria kwa wananchi na wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa kwa usawa, uhuru, uwazi na haki yameboreshwa na kua bora zaidi.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa October, vyama vya siasa nchini vinaenjoy kwa kiwango kikubwa sana fursa na nafasi ya kuchangamana na wananchi kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini bila fujo, maandamano ya ghasia au vurugu tofauti na kipindi kilichopita kabla ya kusambaratika kwa CHADEMA.

Mazingira ya kiusalama yamewekwa kote nchini ili kusudi vyama vya siasa vifanye shughuli zao kwa amani na usawa kwa mujibu wa sheria, huku usalama wa raia na mali zao ukiwa katika uhakika wa kiwango cha juu zaidi.

Sote ni mashahidi,
huenda chadema ndio ilikua chanzo cha fujo, vurugu, uharibifu, dhuluma za uhai wa watu wasio na hatia na ghasia nyingine mballimbali za kisiasa kama vile watu kupotea n.k.

Hivyo naweza kusema without fear of contradictions kwamba, kusambaratika kwa chadema nchini kumeimatisha amani, utulivu wa kisiasa na kumechochea kwa kiasi kikubwa sana uhakika wa usalama wa watu na makazi yao, lakini pia kushamiri na kusitawi kwa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema ya sasa siyo chama cha kisiasa ni chama cha uharakati uchwara
 
Hizi ni blaablaa na tlaatlaa,
Ukila ukashiba saidia ata kuosha vyombo
ama kwa hakika kunguru hafugiki,

ohh mama nataka kurudi nyumbani tujenge nchi, ooh naomba nihakikishie usalama wangu n.k.n. kumbe jamaa linakuja kutukana waTanzania na huyo aliemsaidia kurudi nyumbani alikopatamani baada ya kupakimbia 🐒
 
Uhuru kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu umeongezeka na mazingira bora zaidi ya kisheria kwa wananchi na wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa kwa usawa, uhuru, uwazi na haki yameboreshwa na kua bora zaidi.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa October, vyama vya siasa nchini vinaenjoy kwa kiwango kikubwa sana fursa na nafasi ya kuchangamana na wananchi kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini bila fujo, maandamano ya ghasia au vurugu tofauti na kipindi kilichopita kabla ya kusambaratika kwa CHADEMA.

Mazingira ya kiusalama yamewekwa kote nchini ili kusudi vyama vya siasa vifanye shughuli zao kwa amani na usawa kwa mujibu wa sheria, huku usalama wa raia na mali zao ukiwa katika uhakika wa kiwango cha juu zaidi.

Sote ni mashahidi,
huenda chadema ndio ilikua chanzo cha fujo, vurugu, uharibifu, dhuluma za uhai wa watu wasio na hatia na ghasia nyingine mballimbali za kisiasa kama vile watu kupotea n.k.

Hivyo naweza kusema without fear of contradictions kwamba, kusambaratika kwa chadema nchini kumeimatisha amani, utulivu wa kisiasa na kumechochea kwa kiasi kikubwa sana uhakika wa usalama wa watu na makazi yao, lakini pia kushamiri na kusitawi kwa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Uhuru kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu umeongezeka na mazingira bora zaidi ya kisheria kwa wananchi na wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa kwa usawa, uhuru, uwazi na haki yameboreshwa na kua bora zaidi.

Kuelekea uchaguzi mkuu wa October, vyama vya siasa nchini vinaenjoy kwa kiwango kikubwa sana fursa na nafasi ya kuchangamana na wananchi kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini bila fujo, maandamano ya ghasia au vurugu tofauti na kipindi kilichopita kabla ya kusambaratika kwa CHADEMA.

Mazingira ya kiusalama yamewekwa kote nchini ili kusudi vyama vya siasa vifanye shughuli zao kwa amani na usawa kwa mujibu wa sheria, huku usalama wa raia na mali zao ukiwa katika uhakika wa kiwango cha juu zaidi.

Sote ni mashahidi,
huenda chadema ndio ilikua chanzo cha fujo, vurugu, uharibifu, dhuluma za uhai wa watu wasio na hatia na ghasia nyingine mballimbali za kisiasa kama vile watu kupotea n.k.

Hivyo naweza kusema without fear of contradictions kwamba, kusambaratika kwa chadema nchini kumeimatisha amani, utulivu wa kisiasa na kumechochea kwa kiasi kikubwa sana uhakika wa usalama wa watu na makazi yao, lakini pia kushamiri na kusitawi kwa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ulisoma somo la uraia wakati upo shule ya msingi??
 
Yes,
enjoy demokrasia ya kweli ya vyama vingi bila fujo baada ya ya chama cha vurugu Chadema kusambaratika 🐒
Tupe mifano ya vurugu za chadema ambazo zimedumaza Demokrasia, maana wewe ulikuwa mstali wa mbele kumsifia mbowe na chadema yake, , ukahamia CHAUMA . Mimi najua wewe shida Yako ni Tundu.
 
CCM imerudi kule kule 2005 hadi 2015 - mafisadi wamekivamia tena chama chetu kwa kasi ya ajabu, ushahidi ni yale ma billioni waliyokuwa wanayatoa juzi - tukiokoe chama chetu.
Polepole mwanachama mwenzetuyupo sahihi Tumuunge mkono.
Tusikubaki kushiriki uchaguzi usio na tija kwa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom