CCM watakuwa wanawakilisha wazee wa Dar na magamba wao bila shaka,kwenda kudeku na kujua mkulo kaambiwaje na wa CDM.ccm wana wakilisha kina nani?au wakazi wa dar,dom na zenj?
Halafu anayetangaza hayo bila aibu ni NAPE,Haahaahaaaa! Vichwa vya panzi... Wazee wa kuiga na kukariri hakuna chema wanachoweza kubuni wenyewe, kazi yao kusikilizia tu wadandie.. Kuvimbiwa kubaya jamani.
Nadhani ni kihoro tu ndicho kinachowasumbua hao wazee tu.Halafu anayetangaza hayo bila aibu ni NAPE,
WANA MASHAKA SANA HAWA kuwa CDM wataua ndege wawili kwa jiwe moja!
Heeeee! unanichekesha mkuu yaani unataka kunambia swala hili hawakulizungumzia kabla ndani ya vikao vya chama na kuwa na msimamo au hawamwamini JK?Baada ya CHADEMA KUUNDA KAMATI NDOGO itakayokutana na Rais Kikwete kuhusiana na Katiba, CCM nao wamesema wataongelea hatua hiyo katika vikao vyao vya kamati kuu, na hatimaye watapanga nao kwa upande wao kumwona Rais na Mwenyekiti wa ccm kwa suala hilohilo!
Maajabu haya ya kisiasa!
Kero zimeanza baada ya Cdm kupanga mkakati huo?...kabla hazikuwepo?Wacha nao waende wakatoe kero zao. Cha ajabu ni nini?