Baada baada ya kumtongoza amenijibu hivi

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
Kwa Mara nyingine nimekutana na demu wa kilokole ,baada ya kumtokea amenijibu msg ya kutoka 2 Korintho 6:14-21 ,hivi hawa mademu wa kilokole wanamambo gani lakini yaani nimeshindwa hata kuelewa ,wajuzi wa mambo naombeni tujadili kidogo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakudanganya 6 wakorinto haifiki 21 inaishia 18. Unless otherwise uwe umejitungia

4 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo,Tokeni kati yao,Mkatengwe nao, asema Bwana,Msiguse kitu kilicho kichafu,Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu,Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,asema Bwana Mwenyezi.
 
Yes ila Mimi nimekosea kidogo ,kwenye text yake aliandika 2Cor 6:14-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajakukataa Ila amekueleza hamuwezi kwenye mahusiano kisa Imani zenu tofauti anataka umfate ili muwe na Imani moja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajakukataa Ila amekueleza hamuwezi kwenye mahusiano kisa Imani zenu tofauti anataka umfate ili muwe na Imani moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tafsiri za kuchukua mistari flani ya bibilia na kuishikiria ni mbaya sana ,sasa mtu kachukua kifungu hicho cha biblia bia kuelewa kina maana gani ,Hayo maneno yalisemwa na Paulo alipotumwa na Mungu kwenda kwenye mji na Korintho ili akawahubirie watu habari njema .Na inasemekana kwenye huo mji ulikuwa na uhasi mkubwa yaani watu full kujiachia na kila aina ya uovu ulikuwa unatendeka ,mauaji ,uzinzi na mambo mengi ya ajabu mpaka Mungu akaamua kuuchoma moto huo mjin na baada ya kujengwa tena ndipo akamtuma Paulo na Timotheo ili wakahubiri habari njema.Na ukiendelea kusoma zaidi anakuambia kwamba sio watu wote waliokuwa waasi na wahuni wengine walikua wacha Mungu wazuri tu ndio hao alikuwa anawaambia msiwe kama wale watu waasi ,wanyang'anyi ,wazinzi na washalati .Sasa mtu kachukua kifungu cha biblia na kukileta kwenye mambo yasiyohusika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa mkuu umeuliza jambo unalolifaham kumbe.. Dah..
 
Matendo yao nauhalisia huwa sawa na pilau na mavi.


Mafungu Mengi lkn wana utopolo mwingi
 
Sasa yeye kachukua nafasi ya Paulo na ww amekuweka nafasi ya wakoritho waasi
Badilika kuwa mwema fuata na Paulo tatizo nn mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yeye kachukua nafasi ya Paulo na ww amekuweka nafasi ya wakoritho waasi
Badilika kuwa mwema fuata na Paulo tatizo nn mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kunifananisha Mimi na Wakorintho kwani kimatendo hatuendani kabisa ,maana maovu waliyokuwa wanafanya hawa watu ni makubwa mno ,walikuwa wanalala mpaka na ndugu zao yaani mfano kaka anapiga papachu ya dadayake ,na kulikuwa na mauaji mkubwa kufuatana na sheria za tolati ,sasa je Leo hii unawezaje kumfananisha mtu wa dini nyinngine mfano Roman na Wakorintho? Na kama mtu anatabia chafu akiokoka ndio ataacha ? Haya mambo ya dini tuyaache tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…