The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,079
- Thread starter
-
- #41
Maeneo ya Mwenge, kinondoni kwenda huko Bunju ni mwenyeji kidogo. Fyatanga napafaham sana toka longi sana. Pale mbuzi choma sio mchezo.Kaka njoo bar moja tegeta inaitwa KB BAR OPPOSITE NA KIBO COMPLEX utaenjoo watoto, msosi na mziki mzito ukiongzwa na DJ chikawe. Karibu sana tukitoka hapo nakupeleka sehemu moja inaitwa Fyatanga maeneo ya boko ukale mbuzi choma hatari .
Ukiaona anazidisha ndimu jua nyama ya majuzi.Uchachu siyo nyanya ya kopo anazidisha ndimu au limau!
Aiseee bwana yohana kwema?ma barmaid wengi wameungua mkuu..endelea kuwapitia ovyo tu utajajuta
Achana na huo, kuna mgahawa mwingine wa haohao Wallet uko pale ukipita Kwetu pazuri mbele mkono wa kulia kuna tawi la Yanga.Ahsante mkuu kwa kunidokeza. Mgahawa huo uko sehemu gani Tabata? Ni ule uko njiani pale maeneo ya Bima?
Ahsante mkuu.Achana na huo, kuna mgahawa mwingine wa haohao Wallet uko pale ukipita Kwetu pazuri mbele mkono wa kulia kuna tawi la Yanga.
Nimepiga hapo leo ugari dona na Tasi wa kukaanga kisha kaungwa kwa nazi ni hatare.
Unaiona thamani ya pesa yako kabisa.
Bila kusahau kwa mfojo mishikaki yake haina mpinzani kwa nchi za SADC, alialikwa bungeni kwa umahiri wa kuvundika na kuchoma mishikaki, hiyo ni Tabata.Siyo kwl tabata bata kama kawa
Ukiniuliza hobbies zangu ni zipi kula vizuri haiwezi kukosekana.Ahsante mkuu.
Wikendi hii nitazuru hayo maeneo nijiridhishe zaidi. Mimi starehe yangu ni misosi mizuri mizuri tu. Mtungi nimewaaachie nyie kiongozi.
Mmoja upo Tabata Shule na mwingine upo kule Segerea kituo cha Sanene kwa mbele kama mdau alivyosema upande wa kulia.Achana na huo, kuna mgahawa mwingine wa haohao Wallet uko pale ukipita Kwetu pazuri mbele mkono wa kulia kuna tawi la Yanga.
Nimepiga hapo leo ugari dona na Tasi wa kukaanga kisha kaungwa kwa nazi ni hatare.
Unaiona thamani ya pesa yako kabisa.