Baa za Tabata kwa misosi bado sana

kwahiyo utafiti wa 40 40 tu ndo umekupa majibu ya bar zote za tabata? u must be joking
 
Umesema uchachu,nikakuambia labda lingine lakini ili pishi la makange likamilike kati ya viungo,kimoja wapo ni lamau au ndimu mkuu,mimi si shindani.Kama unakumbuka nilisema inawezekana alizidisha ndimu kwenye kipengele cha kuweka ndimu.
Tutafute siku (weekend) nikukaribishe shambani kwangu ili tuchinje kama itakuwa mbuzi, kuku kienyeji, bata n.k ili tupike mkuu.
 
Uchachu ulipitiliza ama kukera ni wanapoweka vinegar.... Mtoa mada yupo sahihi,limau ni kiunganishi cha kawaida kabisa na kikitumika vizuri wala hakiwezi kukera.... Niliwahi kula makange ya kuku wa kienyeji sehemu flan tena ya hadhi yalikuwa machachu kupitiliza mpk meno yanauma, nikagundua wameweka vinegar, nikagombana na mpishi coz vinegar mara nyingi huwekwa kwenye fresh veggies na sio kupikia kwa wingi hivyo.....wengine wanatumia kuku na nyama zilizolala kupikia makange wanajaza viungo ili watu wasistukie.... Shame on them.
N.B Mimi ni mpishi mzuri ila mara moja moja nakula bar au hotel so staki povu
 
Kwahiyo sampling yako ya 4040 ndio umepata methodology ya Tabata?

Ok si kila mtu anaingia kwenye mabar, ukiwa Tabata siku na unataka kula ingia mgahawa wa Wallet na chakula unaagiza unapikiwa unasubili dakika 15, kula pale halafu rudi hapa uje kuharisha tena hizi pumba zako.
 
Kaka njoo bar moja tegeta inaitwa KB BAR OPPOSITE NA KIBO COMPLEX utaenjoo watoto, msosi na mziki mzito ukiongzwa na DJ chikawe. Karibu sana tukitoka hapo nakupeleka sehemu moja inaitwa Fyatanga maeneo ya boko ukale mbuzi choma hatari .
 
Kaka njoo bar moja tegeta inaitwa KB BAR OPPOSITE NA KIBO COMPLEX utaenjoo watoto, msosi na mziki mzito ukiongzwa na DJ chikawe. Karibu sana tukitoka hapo nakupeleka sehemu moja inaitwa Fyatanga maeneo ya boko ukale mbuzi choma hatari .
Mkuu, wk end hii utakuwepo nije nikupe ofa? Napapendaga sana pale. Ndio kiwanja changu kikubwa pande hizo...
 
MTU MZIMA BADALA AOE APIKIWE ANAZUNGUKA KWENYE MABAA KUTAFUTA CHAKULA.KAMA KUOA KAZI SI UPIKE KWAKO AU UTAFUTE MDADA WA KAZI.
NA KAMA UMEOA BASI NI WALE WABABA WANAOKULA MCHEMSHO BAR HUKU KWAKE WAMESHINDIA UJI
Kupika chakula chako mwenyewe ni gharama kubwa kuliko kula mgahawani au Bar.

Kuoa sio lazima mkuu. Kuoa hadi roho akushukie, mimi bado hajanishukia mkuu.
 
Mahala gani hapo mkuu nisije kujikuta siku moja nimeokota hela nikaenda kumbe misosi hovyo!
 
Ahsante mkuu kwa kunidokeza. Mgahawa huo uko sehemu gani Tabata? Ni ule uko njiani pale maeneo ya Bima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…